Loading...
Kuna mwenendo unaoshika kasi baina ya wakazi wa jiji la Dar es Salaam kwa ujumla na shauku ya kunywa maji ya madafu, lakini yalichanganywa na limao kidogo kwa ajili ya afya na starehe.
Tafiti iliyofanyika na gazeti la Daily New, imefichua kuwa kuna baadhi wana hofu kwamba kuchanganya vitu hivyo viwili vinaweza kuleta matatizo ya kiafya (kikemikali na mfumo wa mkojo).
Lakini mtaalamu wa maswala ya chakula na lishe, Dkt. Vincent Assey ambaye ni Mkurugenzi wa TFNC alisema maji ya madafu ya faida kede kede mwilini, lakini lamao linaweza kuongeza ladha na ina vitamin C kwa wingi, na kuongezea kuwa hakuna madhara yoyote ya kiafya katika mchanganyiko huo.
Mtaalam mwingine kutoka hospitali ya Taifa ya Muhimbili, James Malinda alisema kwamba maji ya madafu yana madini mengi, kama potassium na vitamini bila kusahau sukari, na yana ladha tamu pia ina mafuta.
Hizi ndio faida kadhaa za mchanganyiko huu:-
1. Huchochea mmeng'enyo wa chakula.
2. Husaidia kinga dhidi ya saratani.
3. Husaidia kupunguza hatari dhidi ya Kiharusi.
4. Kurekebisha Sukari katika mwili.
5. Inasaidia urekebishaji wa Ngozi na kupona Makovu.
6. Husaidia kuua bacteria wa aina mbalimbali wakiwamo wale wanaosababisha maambukizi kwenye njia ya mkojo yaani UTI.
7. Husaidia pia kupunguza maumivu wakati wa kupata haja ndogo (mkojo).
8. Husaidia kupunguza tatizo la msukumo mkubwa wa damu mwilini. Wataalamu wa lishe wanashauri maji hayo yanywewe asubuhi kabla ya kutumia chakula au kinywaji chochote.
9. Kwa watu wanene, huwasaidia kupunguza uzito na kuwaongezea hamu ya kula kutokana na uasilia wake.
10. Pia, Watu wanaocheza michezo mbalimbali, kwani huwasaidia kuwaondolea uchovu na kuwaongezea nguvu wawapo uwanjani.
Hivyo, inashauriwa kila mmoja kutumia mchanganyiko huo kwani una faida lukuki ndani ya mwili wa binadamu.
Na Catherine Kisese.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com

ZIJUE FAIDA ZA KUNYWA DAFU UKICHANGANYA NA NDIMU/LIMAO
Reviewed by By News Reporter
on
10/07/2018 06:35:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: