Loading...
Tangazo la binti huyo liliwasisimua wengi mtandaoni ikizingatiwa bado kuna unyanyapaa kwa wanaoishi na virusi vya HIV.
Binti huyo kutoka Afrika Kusini anayejulikana kwa jina Gcinniey Wase Mantungwen Coomaloe katika ukurasa wake wa Facebook alisema kuwa wengi wamekuwa wakitaka kumwona 'ana kwa ana' ili kuhakikisha waliyosikia ni ya kweli.
Aidha, alielezea kuwa hakuwa na wapenzi wengi na aliambukizwa virusi hivyo na "mpenzi aliyempenda na kumthamini sana".
Aidha alieleza kuwa yeye humeza dawa za kupunguza makali (ARVs) kila jioni kabla ya kulala. Binti huyo alionya dhidi ya unyanyapaa akisema kuwa mtu anaweza kufariki kutokana na maradhi hatari yasiyo tiba na kumwacha anayeishi na virusi akiendelea na maisha yake.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

BINTI ALIYEZUA GUMZO MITANDAONI KUTANGAZA ANAISHI NA VIRUSI VYA UKIMWI
Reviewed by By News Reporter
on
11/25/2018 07:53:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: