Loading...

HABARI ZA HIVI PUNDE: AJALI YA TRENI DAR YAJERUHI WATU 9

Loading...
TRENI ya abiria inayofanya safari zake kati ya Stesheni na Pugu, jijini Dar es Salaam imepata ajali baada ya mabehewa yake mawili kuanguka eneo la Karakata wilayani Ilala na kujeruhi watu 9, leo asubuhi, Ijumaa, Novemba 2, 2018.

Kamanda wa Reli nchini, David Mnyambuga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na kusema mabehewa hayo mawili yameharibika vibaya na kwamba majeruhi tayari walikimbizwa hospitali kwa ajili ya kupatiwa matibabu.

Endelea kufuatilia blog yako pendwa ili kupata taarifa zaidi.

Na John Malogo.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
HABARI ZA HIVI PUNDE: AJALI YA TRENI DAR YAJERUHI WATU 9 HABARI ZA HIVI PUNDE: AJALI YA TRENI DAR YAJERUHI WATU 9 Reviewed by By News Reporter on 11/02/2018 11:54:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.