Loading...
rif;">Kwa miaka Korea kaskazini imekuwa ikitekeleza sera yake ya "byungjin" ambapo nchi hio ilikuwa ikiendeleza uwezo wake wa silaha za kinyuklia pamoja na uchumi.
Mwezi April kiongozi wa peninsula hio ya Korea Kaskazini alitangaza kwamba nchi yake sasa itajikita kwenye kujenga uchumi wa kijamaa na kuachana na suala la uendelezaji wa silaha za kinyuklia.
Na Geofrey Okechi.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

KOREA KASKAZINI YAICHIMBA MKWARA MAREKANI
Reviewed by By News Reporter
on
11/04/2018 05:09:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: