Loading...
Mwanasoka nguli, David Beckham imeripitiwa yuko katika mazungumzo ya siri na kwamba anatarajiwa kuwa mwanasoka wa kwanza katika historia kusafiri 'MWEZINI'
Kwa mujibu wa gazeti la The Sun UK, mchezaji huyo mkongwe, 43, alisema 'Nimekuwa nikiwaza kwa muda mrefu' na inaonekana kama itatokea sasa 'Kwenda mwezini nadhani ni shabaha yangu ya kweli'.
Chapisho hilo lilidai kwamba baba huyo wa watoto wanne amedhamiria hata 'kupiga mpira' akiwa angani (mwezini).
Chanzo hicho pia kimebaini kuwa hata watoto wa David, Brooklyn, 19, Romeo, 16, Cruz, 13 and Harper, 7, wote wanatarajiwa kuwepo katika safari ya mwezini. Beckham pia amekuwa na hofu juu ya safari kwakuwa ndio mara yake ya kwanza kusafiri na ni safari ya kipekee ukilinganisha na zilizozoeleka.
Na Francis Paul.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

BECKHAM KUWA MCHEZAJI WA KWANZA KWENDA MWEZINI
Reviewed by By News Reporter
on
12/21/2018 04:53:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/21/2018 04:53:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: