Loading...

UWOYA AZINDUA KLABU YAKE SIKU YAKE YA KUZALIWA

Loading...
Mwanadada Irene uwoya amefanikiwa kufungua klabu siku yake ya kuzaliwa ikiwa ni moja ya vitu alivyowahi kuvitamani sana katika mafanikio yake.

Irene ambae amesherekea siku yake yakuzaliwa wiki hii huku ikisemwa kuwa bajeti ya siku hiyo ilikuwa ni ya mamilioni ya pesa , ameweza kufanya siku hiyo kuwa ya kipekee kwa sababu licha ya kusherekea na marafiki lakini pia aliweza kutoa  sadaka kwa watoto wenye uhitaji katika moja ya vituo vilivyopo jijini.

Mwanadada Irene ambae amekuwa akisemwa kuwa kwa sasa amekuwa akitumia pesa ndefu sana katika kila kitu anachofanya amekuwa akisemwa kuwa  wapo ma-sponsor wanaosimamia gharama hizo lakini yeye mwenyewe amekuwa akikanusha taarifa hizo na kusema mkwanja wake ni juhudi zake mweyewe.

Mwanadada Irene ametimiza miaka 30 mwaka huu na birthday hiyo imekuwa ikisherkewa wiki nzima hasa kutokana na zawadi mbalimbali ambazo bado anazipokea mpaka sasa.
Na George Fellix.




Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
UWOYA AZINDUA KLABU YAKE SIKU YAKE YA KUZALIWA UWOYA AZINDUA KLABU YAKE SIKU YAKE YA KUZALIWA Reviewed by By News Reporter on 12/21/2018 05:16:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.