Loading...
Kutokana na kutofautiana nyakati katika maeneo mbali mbali ya duniani hupelekea kupishana kwa muda tunapoukaribisha mwaka mpya 2019, na hii ni kila mwaka.
Kuna baadhi ya maeneo yashaanza kusherehekea mwaka mpya na mengine bado lakini kwa Tanzania mpaka ifike saa sita usiku yaani 12:00 (00:00 kwa masaa 24) leo hii ndipo mwaka utabadilika rasmi na watu kuanza kuusherekea mwaka mpya.
Zifuatazo ni nchi zinazosherehekea sikuu ya mwaka mpya sawa na nchini kwetu, na hizo nchi ni pamoja na: Russia, Turkey, Saudi Arabia, Ethiopia, Iraq, Belarus, Somalia, Kenya, Madagascar, Uganda, Eritrea, Region of Ukraine, Djibout, Yemen, South Sudan, Qatar, Comoros region of Georgia, Bahrain, Small region of South Africa, Mayotte na Kuwait.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

FAHAMU NCHI ZINAZOSHEREHEKEA SIKUU YA MWAKA MPYA SAWA NA TANZANIA
Reviewed by By News Reporter
on
12/31/2018 04:21:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: