Loading...
Rais John Magufuli ameamuru mifuko ya hifadhi ya jamii iendelee na kikokotoo kilichokuwa kikitumika kwa kila mfuko kabla ya mifuko hiyo kuunganishwa na kiendelee hadi mwaka 2023 ambapo inakadiriwa kuwa wanachama takriban 58,000 ndiyo watakaokuwa wamestaafu katika kipindi hicho.
Magufuli ameelekeza hivyo leo alipokutana na viongozi wa Shirikisho la Wafanyakazi (TUCTA), vyama shiriki, Mifuko ya Hifadhi ya Jamii (PSSSF & NSSF) na Mamlaka ya Usimamizi wa Hifadhi ya Jamii (SSRA), Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Pamoja na uamuzihuo, rais pia alizitaka hifadhi za jamii zipunguze matumizi ya hovyo, ili kuweza kuwalipa wanachama wake vizuri na mapema.
Na Issa Shabani.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

JPM AAMURU KIKOKOTOO CHA ZAMANI KITUMIKE MPAKA 2023
Reviewed by By News Reporter
on
12/28/2018 03:49:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/28/2018 03:49:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: