Loading...
Rais Uhuru Kenyatta ameanza ziara yake ya siku mbili ya kihistoria kwa kumtembelea Raila Odinga nyumbani kwake Bondo, kaunti ya Siaya Ijumaa, Disemba 14.
Ndege iliyombeba Rais Uhuru na timu yake iliwasili nyumbani kwa Raila, Opoda Farm na kulakiwa na kiongozi huyo wa upinzani pamoja na mkewe Ida Odinga.
Jimmy Wanjigi, pamoja na mbunge wa Embakasi Mashariki Babu Owino ni kati ya viongozi waliowasili nyumbani kwa Raila mapema kumsafishia njia Rais Uhuru kabla kuwasili.
Kwa mara ya mwisho, Uhuru alifika nyumbani kwa Raila alipokuwa mbunge wa Gatundu.
Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

KENYATTA AFIKA NYUMBANI KWA ODINGA KWA MARA YA KWANZA TANGU AWE RAIS
Reviewed by By News Reporter
on
12/15/2018 09:22:00 AM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/15/2018 09:22:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: