Loading...
Ukisema 'sikukuu ya krismasi imeenda vizuri', nadhani wafuasi wa nabii Jeremiah Omoto Fufeyin ndio watakuwa na maana kamili ya kauli hiyo baada ya kugewa jumla ya Sh. milioni 192 kama zawadi ya krismasi.
Nabii Jeremiah wa kanisa la The General Overseer of Christ Mercyland Deliverance Ministry katika jimbo la Delta, Nigeria alitoa kama sadaka kwa wafanyakazi na baadhi ya waumini wa kanisa lake jana katika sikukuu ya Krismasi walipokuwa wakifanya ibada.
Mchungaji Jeremiah aliwahasa Wanigeria kutumia sikukuu hizi kwa kumtukuza Mungu ili awaongezee baraka mwaka 2019.
Pesa za noti alizozifunga kwa mafungu alizigawa kwa wafanyakazi wa taasisi kwa kiasi kiasi ili wakatumie kipindi cha sikukuu.
Na Geofrey Okechi.

MCHUNGAJI AWAGAWIA WAUMINI MIL 190/- KAMA SADAKA YA KRISMASI
Reviewed by By News Reporter
on
12/26/2018 02:33:00 PM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/26/2018 02:33:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: