Loading...
Nairobi - Polisi wa Kenya wamemshikilia mtu anayeaminika ni muhusika mkubwa wa utekaji wa mtalii mtaliano.
Maafisa wa polisi wa ngazi za juu waliitaarifu umma kwamba mtu huyo alishikiliwa toka Jumamosi jioni katika Kaunti ya Tana River. Maafisa hao walizungumza kwa vificho kwa kuwa hawaruhusiwi kutoa taarifa kamili ikiwa bado upelelezi unaendelea.
Angalau wanaume watatu waliokuwa na bunduki walivamia katika shambulio la Novemba 20 ambapo mtaliano mwenye umri wa miaka 23 kwa jina Costanza Romano alitekwa katika jamii ya pwani, watu watano, wakiwemo watoto, walijeruhiwa.
Ilikuwa ndiyo utekaji wa mgeni kwa mara ya kwanza nchini Kenya kwa miaka mingi.
Hakuna aliyethibitisha kuhusika mpaka leo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
POLISI KENYA: MSHUKIWA NAMBA MOJA WA UTEKAJI WA MTALII AKAMATWA
Reviewed by By News Reporter
on
12/12/2018 07:57:00 AM
Rating:
Reviewed by By News Reporter
on
12/12/2018 07:57:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: