Loading...
Wakati George Weah alipowania na kushindwa katika uchaguzi wa mwaka 2005, changamoto kubwa katika kampeni zake ambayo ilimfanya ashindwe na wapinzani wake ilikuwa, hana elimu kubwa ya darasani.
Alikuwa hana hata Cheti cha kuhitimu Kidato cha Sita ingawa alikuwa anaweza kuzungumza kiingereza, Kifaransa na Kiitaliano. Lakini haikumvunja moyo na wala kumkatisha tamaa. Sasa amezingatia na kuishinda changamoto hiyo kwa kipindi cha miaka 8 iliyopita:
Baada ya kushindwa, alikubaliana na mazingira na kuamua kujisomesha ili aweze kupata cheti cha Diploma mwaka 2006, akiwa na miaka 40, na alienda Chuo Kikuu cha Devry kilichopo Florida, ili kupata shahada ya kwanza katika maswala ya utawala wa biashara mnamo 2011 na kuongezea, akasoma shahada ya pili ya Utawala wa Umma.
Sasa, Mchezaji bora wa dunia wa mwaka 1995 amekuwa rais wa Liberia.
Je ni wangapi kati yetu wapo tayari kusahihisha makosa yetu ya nyuma na kukubaliana na changamoto za sasa na hatimaye kuwa mshindi, haujachelewa, Usikate tamaa kwa Mungu vyote vinawezekana.
Mwaka 2019 ni mwaka wa mabadiliko kwako usiitumie fursa hiyo vibaya.
Na George Owino.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

TUJIFUNZE KITU KUPITIA STORI FUPI YA GEORGE WEAH, TUNAPO UFUNGA MWAKA 2018, NA KUUANZA 2019
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
12/30/2018 02:50:00 PM
Rating:
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
12/30/2018 02:50:00 PM
Rating:

Hakuna maoni: