Loading...

HAKIMU ATAKA KESI YA WEMA IISHE UPESI

Loading...
Kesi ya mwanadada Wema sepetu ambayo ilitegemewa kusomwa January 28 inaendelea kuhairishwa tena kutokana na upeplezi kutokamilika kitu ambacho kimekuwa pia kikimkwaza hakimu anaeshughulikia kesi hiyo.

Kesi hiyo iliyopelekwa na mamlaka ya mawasiliano kutokana na kuvujishwa kwa picha na video chafu za mwanadada huyo katika  mitandao ya kijamii imekuwa ikipigwa tarehe kila siku.

Hakimu mkazi wa kisutu Maira Kasonde anaeshughulikia kesi hiyo amewaomba wanaochunguza kesi hiyo kufanya uchunguzi haraka na sio kila siku kuwa inapigwa tarehe kutokana na upepelezi.

hata hivyo hakimu wa Wema Sepetu pia analalamika na kusema kuwa kesi  hiyo imekuwa ikipelekwa mbele zaidi ya mara nne sasa .

Ikumbukwe kuwa kesi ya Wema Sepetu ilipelekwa mahakama Novemba 2018
Na Christian Haule.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
HAKIMU ATAKA KESI YA WEMA IISHE UPESI HAKIMU ATAKA KESI YA WEMA IISHE UPESI Reviewed by By News Reporter on 1/29/2019 12:09:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.