Loading...
Januari 29 mwaka 1978, Uswizi ilipiga marufuku « spray » kutokana na athari zake katika anga. Kulingana na utafiti wa wanasayansi "spray" inaatdhiri tabaka ya "Ozone" anayolinda mazingira.
Januari 29 mwaka 1886, mhandisi na fundi mekanika wa Ujerumani kwa jina la Karl Benz aliwakilisha kazi yake ya kwanza baada ya kutengeneza injin ya Motorwagen. Gari lake la magurudumu matatu lilikuwa na injini nyuma chini ya kiti cha abiria.
Januari 29 mwaka 1929, Shule ya kwanza Marekani, The Seeing Eye ya kufundisha mbwa ili kuwaongoza wenye ulemavu wa macho ilizinduliwa katika mji wa Nashville, Tennessee.
Na Tukelage Mhagama.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

YALIYOJIRI LEO KATIKA HISTORIA
Reviewed by By News Reporter
on
1/29/2019 11:53:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: