Loading...
Ngara. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, amewaonya baadhi ya viongozi wa dini nchini wanaojipenyeza kuanzisha makanisa na misikiti kwa lengo la kuanzisha vichaka vya kuficha uhalifu, kuwa hatawavumiliwa na taasisi zao zitafutiwa usajili.
Alisema watu hao hutumia kivuli cha makanisa na misikiti na kujifanya watu wa Mungu wakiwa na lengo la kufanya uchochezi na kuvuruga amani nchini.
Pia, aliongezea: "Makanisa na misikiti itakayobainika ina malengo hayo, sitaona haya kuifutia usajili na pia nawataka viongozi wa dini endapo migogoro inaibuka hakikisheni mnaitatua wenyewe kwa amani," Waziri Lugola
Na, alitoa rai kwa viongozi wote wa dini kipindi tukielekea katika chaguzi za viongozi wa kidini, kwa viongozi wa makanisa na misikiti endapo migogoro itakapoibuka waitatue wenyewe kwa amani na sio vita.
Na Richard Owino.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

LUGOLA ASHTUKIA WAHALIFU MSIKITINI, KANISANI
Reviewed by By News Reporter
on
1/09/2019 07:58:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: