Loading...

NDOA YA SUGU YAMTIA FAIZA WAZIMU

Loading...
Mwanadada Faiza Ally ambaye aliwahi kuwa na mahusiano na mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi anaonekana kuteswa na jini la mahaba kutoka kwa mbunge huyo kutoana na kuumia kwake kila anapoona mwanasiasa huyo anapiga hatua kubwa katika maisha yake.

Sugu ambaye kwa sasa amekuwa na mahusiano mapya na mwanamke mwingine anayeitwa Happy, amekuwa akiandamwa na Faiza kila kukicha na hata kumtukana kila matuzi lakini mwanadada huyo hakuwahi kujibu kitu.

Wikiendi iliyopita mbunge huyo aliamua kumvisha pete mama kijacho huyo kitu kilichomfanya faiza atume maombi ya kuvunjika kwa ndoa hiyo huku dua zake ikiwa ni mwanaume huyo kumrudia yeye.

Hata hivyo , hivi karibuni mwanadada huyo kaibuka tena na kusema kuwa amesikia sugu anafunga ndoa mwezi wa nne na haya ndio yalikuwa maneno yake kuhusu ndoa hiyo.

"Kuna jitu limetumwa kuja kuniambia kuwa harusi ya baba sasha ni mwezi wa nne,  na kunitukana juu..naisubiri hiyo harusi kwa hamu sana… nione kama inaniua au itanibadilisha kitu katika maisha yangu …kwanza bibi harusi sura mbaya haweiz hata kudamshi ..wala hanishtui na pua kama bibo."
Na Catherine Kisese.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
NDOA YA SUGU YAMTIA FAIZA WAZIMU NDOA YA SUGU YAMTIA FAIZA WAZIMU Reviewed by By News Reporter on 1/23/2019 12:06:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.