Loading...
Msanii maarufu wa Muziki kutoka nchini Kenya Akothee amezua gumzo nchini humo siku chache zilizopita baada ya kufanya shoo ambayo alionekana alicheza kwa staili za ajabu stejini.
Akothee ameingia kwenye headlines nchini humo baada ya kutumbuiza kwa staili ya aina yake kwenye jukwaani la show ya Valentines Beach Party iliyofanyika Wikiendi iliyopita katika fukwe za Paparemo mjini Watamu nchini humo.
Akothee kama iliyowasanii wengine, alianza kuposti kwenye mitandao ya kijamii picha za show ambazo nyingi ziliashiria uharibifu wa maadili na kuchochea ngono kama wadau wa mitandaoni walivyomshambulia.
Lakini pia ishu hiyo imefika mbele zaidi Serikalini ambapo kupitia kwa Afisa Mkuu Mtendaji wa Baraza La kuthibiti Filamu nchini Kenya (KFCB), Dkt. Ezekiel Mutua imelaani kitendo hicho.
Na Kusema: "Wakenye wanavipaji, lakini tukiendelea kufurahia uchafu unaofanyika soko letu la burudani halitokua. Akothee ni anakipaji lakini upuuzi aliouonyesha hadharani katika moja ya jukwaa akitumbuiza litatugharimu sisi. Kuna watoto wanamuangalia na wanaiga anachofanya kwa namna hiyo haitoleta picha nzuri mbele ya muziki wetu. Akothee anapaswa kujua vitendo vyake havitovumilika kama atarudia tena aache mara moja."

Na Haika Gabriel.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MSANII AKOTHEE WA KENYA MATATANI KWA UCHAFU ALIOUFANYA JUKWAANI
Reviewed by By News Reporter
on
2/20/2019 11:00:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: