Loading...

WACHIMBAJI MADINI WATANGAZA MAANDAMANO NCHI NZIMA

Loading...
February 9, 2019 bunge limepitisha muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Sheria mbalimbali ambao unalenga kufanya marekebisho kwenye sheria ya madini kwa kuondoa tozo ya zuio la kuuzia madini ambayo ilikua 5% na kuwa asilimia 0%.

Baada ya hatua hiyo chama cha wachimbaji wadogo wa madini nchini wakiwa mkoani Dodoma wakiongozwa na Rais wao John Bina kimesema kuwa kimepanga kufanya maandamano ya amani kwa nchi nzima kwa lengo la kumpongeza Rais Magufuli katikati maamuzi yaliyofikiwa na Serikali yake.
Na Neema Joshua.



Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
WACHIMBAJI MADINI WATANGAZA MAANDAMANO NCHI NZIMA WACHIMBAJI MADINI WATANGAZA MAANDAMANO NCHI NZIMA Reviewed by By News Reporter on 2/10/2019 11:58:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.