Loading...
Ole Gunnar Solskjaer amepewa mkataba wa miaka mitatu na Manchester United kutokana na kuiongoza kufufuka katika mbio za ubingwa tangu akabidhiwe timu baada ya kocha wa zamani, Jose Mourinho kutimuliwa mwezi Desemba.
Pamoja na kuwaongoza mashetani hao wekundu kufika robo fainali ya Ligi ya Mabingwa wa Ulaya kwa kuishindilia PSG mabao 3-1 jijini Paris na kugeuza matokeo ya kipigo cha mabao 2-0 katika mchezo wa kwanza, Solskjaer ameirejesha United katika kinyang'anyiro cha nafasi nne za juu katika msimamo wa Ligi Kuu ya soka ya england.
Zifuatazo ni mechi tano muhimu ambazo AFP inaona zimesababisha Solskjaer apewe mkataba huo ambao alikuwa akiuota maishani mwake:
a) Cardiff na Man Utd 1 - 5
b) Tottenham na Man Utd 0 - 1
c) Chelsea na Man Utd 0 - 1
d) Man Utd na Southampton 3 - 2
e) PSG na Man Utd 1 - 3
Na Musa Shabani.
.

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
HIZI NDIO MECHI ZILIZOMPA UKOCHA SOLSKJAER MAN UTD
Reviewed by By News Reporter
on
3/29/2019 06:21:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: