Loading...

JPM AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA UPAKAJI RANGI NDEGE YA FOKER 50

Loading...
Rais Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kukagua kazi ya upakaji wa rangi ndege ya Foker 50 iliyokuwa ikibeba viongozi, ambayo itaanza kubeba abiria na kazi hiyo inafanyika nchini na inagharimu shilingi milioni 7 tu.

Rais Magufuli alizuia ndege hiyo kusafirishwa nje kwa ajili ya kazi hiyo, ambapo ingegharimu zaidi ya Milioni 160.
Na Fatma Pembe.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
JPM AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA UPAKAJI RANGI NDEGE YA FOKER 50 JPM AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KUKAGUA UPAKAJI RANGI NDEGE YA FOKER 50 Reviewed by By News Reporter on 3/29/2019 06:32:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.