Loading...
Bosi wa bodi ya Filamu na Utambuzi ya Kenya (KFCB), Bw Ezekiel Mutua ametoa tamko la kuifungia nyimbo ya 'Kwangwaru' iliyoimbwa na wasanii Diamond Platinumz na Harmonize.
Akiongea akiwa mjini Mombasa, Mutua aliweka wazi kuwa hatoruhusu Diamond na wasanii wengine wageni ambao nyimbo zao zimefungiwa kuzitumbuiza nchini Kenya.
Mutua amesema kwamba maudhui ya nyimbo ya Kwangwaru haiendani na mila na desturi, na pia inashusha heshima ya nchi. "Hatutotaka kuona aina ye yote ya utumbuizwaji wa nyimbo hiyo kwa watoto kwa kuwa hawawezi kuielewa," alifafanua. Kulingana na Mutua mtu ye yote akibainika anacheza muziki huo kwa watoto watashughulikiwa.

Na Saidi Mobeyo.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
KWANGWARU YA HARMONIZE NA DIAMOND YAFUNGIWA
Reviewed by By News Reporter
on
3/12/2019 08:34:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: