Loading...
Mhubiri mmoja kutoka Ghana Ekow Badu Wood amewataka wanaume wote ulimwenguni mzima kuwalipa mshahara wanawake wao kwa ajili ya kazi wanazozifanya nyumbani.
Kulingana na mhubiri huyo, wanawake hutekeleza majukumu mengi nyumbani na kuhakikisha wanadumisha amani katika jamii.
"Njia moja ya kutoa shukrani kwa wanawake ni kuwalipa mshahara kila mwezi, hii ni kwa ajili ya kazi ambazo hufanya ili kuboresha ndoa zao, malipo hayo yatawafanya wawe na motisha zaidi," Mhubiri huyo alisema.
Mhubiri huyo alisisitiza kuwa kila familia hunawiri panapo mwanamke na hivyo wanapaswa kutambulika na kutuzwa.

Na Joseph Bernard.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MCHUNGAJI ATAKA WANAWAKE KOTE DUNIANI KULIPWA MISHAHARA
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
3/09/2019 08:51:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: