Loading...
Afrika Kusini. Simba mmoja aliyetoroka katika mbuga ya Karoo katika msitu wa Beaufort ambaye ni mwezi sasa tangu kutoweka kwake. Simba huyo alikamatwa na maafisa wa wanyama pori na kufungiwa selo kama mshukiwa.
Maafisa wa wanyamapori ambao walikuwa wakimsaka mnyama huyo hatari hatimaye waliweza kumpta kilomita kutoka kwa eneo alikotorokea mbugani humo.
Msimamizi wa mbuga hiyo alithibitisha kuwa simba huyo alinaswa kwa njia ifaayo na kuwa hali yake ilikuwa shwari.
Kwa kuwa ni mnyama hatari, maafisa hao waliamua kumfungia ndani ya selo maana walijua angesababisha machafuko endapo madawa ya usingizi yatakapoisha mwilini.
Mkurugenzi wa mmbuga hiyo Fundisile Mketeni aliwashukuru maafisa hao waliomnamsa simba huyo kwa ustadi baada ya kumsaka kwa muda.
‘’Kwa yeyote aliyesaidia bila kuombwa kufanya hivyo wameonyesha uzalendo kwa taifa la Afrika Kusini na kutawashukuru sana,’’ linukuliwa na CGTN Africa.
Si jambo la kawaida kwa wanyama wa pori kutoka mbugani Afrika, kila wanapoonekana, inakuwa hatari zaidi maana wao huweza kusambabisha maafa makubwa.

Na Fatma Pembe.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
SIMBA ALIYEROROKA MBUGANI, AJIKUTA SELO
Reviewed by By News Reporter
on
3/17/2019 08:46:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: