Loading...
Tetemeko la ardhi lililodumu kwa takriban dakika moja jana mchana Alhamisi Machi 21, 2019 limetokea mkoani Mbeya na kuzua taharuki huku baadhi ya wananchi na wafanyakazi katika ofisi mbalimbali wakitimua mbio.
Baadhi walilazimika kuacha ofisi zao huku waliopo nyumbani nao wakitoka nje ya nyumba zao, hata hivyo hakuna madhara yaliyoripotiwa hadi sasa.
Kwa mujibu wa tovuti ya Earthquake Track kumetokea tetemeko la ardhi lenye ukubwa (magnitude) 5.1 mjini Sumbawanga. Baadhi ya wakazi wa mkoani Mbeya pia wameripoti kutokea kwa tetemeko la ardhi mkoani humo.
Na Mary Mkeu.

Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TETEMEKO LAZUA TAHARUKI MKOANI MBEYA, WANANCHI WATIMUA MBIO
Reviewed by By News Reporter
on
3/22/2019 07:46:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: