Loading...

BABA DIAMOND AFUNGUKA INSHU YA KUSAINIWA WCB

Loading...
Baba Diamond, Abdul Juma amefunguka ishu ya kusainiwa WCB kwenye lebo ya mtoto wake Diamond Platnumz. 

Mzee juma amesema kuwa kwenye mambo ya kutafuta riziki anaweza akaajiriwa na mwanae huku akisema ukitaka cha uvunguni sharti uiname. 

"Unajua kitu kama hicho hapo, ushajua kama kuna mapato fulani au kitu fulani kama vitu vyenywe vinakuwa sio vizito si unatafuta riziki bwana mtaka cha uvunguni sharti uiname," alisema Mzee Juma.
Na Nassib Msimbe.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
BABA DIAMOND AFUNGUKA INSHU YA KUSAINIWA WCB BABA DIAMOND AFUNGUKA INSHU YA KUSAINIWA WCB Reviewed by By News Reporter on 4/20/2019 09:23:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.