Loading...
Wiki hii baba yake Diamond, Mzee Abdul ameachia video ya wimbo wake mpya kuonyesha kwamba na yeye yupo vizuri kwenye masuala ya muziki.
Wimbo huyo haujajulikana jina mara moja lakini mzee huyo anaonekana akiimba huku akicheza na warembo ambao wameipamba video hiyo.
Mapema leo Diamond Platnumz aliamua kupost video ya baba yake huyo kupitia Insta Story na kuandika ujumbe “Big Lion, Kill dem Sha!!”
Mashabiki kupitia mitandao ya kijamii wamempongeza mzee huyo huku wakidai kama akiendelea kufanya hivyo atakuwa msanii mkubwa.
Kuiona video hiyo bofya hapa: https://youtu.be/iK8L4M5x7tY
Na Nasoro Ally.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.

BABA DIAMOND KUFUATA NYAYO ZA MWANAE, ATAMBULISHA WIMBO WAKE
Reviewed by By News Reporter
on
4/03/2019 10:28:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: