Loading...

HOMA YA DENGUE IMERUDI TENA, ZIJUE DALILI

Loading...
Ukiona dalili hizi ujue una homa ya Dengue;

1. Homa kali ya ghafla
2. Kuumwa kichwa hususani sehemu za machoni
3. Maumicu makali ya misuli na viungo vya mwili
4. Kichefuchefu na kutapika
5. Kuvimba tezi
6. Uchovu
7. Kupatwa na vipele vidogovidogo
8. Wakati mwingine kutokwa na damu kwenye fizi, na sehemu za uwazi za mwili mfano mdomoni, masikioni pamoja na sehemu za haja ndogo na kubwa.

Jinsi ya Kujikinga kulingana na Dkt. B. Sukumar, Paka mafuta ya nazi kuanzia usawa wa magoti mpaka kwenye nyayo kwa kuwa mafuta ya nazi huwazuia mbu wanaosababisha homa hiyo kukushambulia na pia mbu hao hawawezi kuruka zaidi ya kimo cha futi 2. Na kama ikitokea mtu anakimo kidogo zipimwe futi mbili zinamfikia wapi, kisha apakwe mafuta hayo kuanzia hapo.
Na Catherine Kisese.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
HOMA YA DENGUE IMERUDI TENA, ZIJUE DALILI HOMA YA DENGUE IMERUDI TENA, ZIJUE DALILI Reviewed by By News Reporter on 4/12/2019 09:14:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.