Loading...

MILIPUKO YAUA 52 HUKU 280 WAJERUHIWA NCHINI SRI LANKA

Loading...
Watu 52 wamekufa na huku 280 wamejeruhiwa katika milipuko katika hoteli tofauti  na makanisa mjini Colombo.

Polisi wa Sri Lanka wameeleza katika taarifa kuwa hoteli 3 mjini Colombo na makanisa matatu, yamelipuka na kusababisha vifo na majeruhi.

Hospitali ya Taifa ya Colombo ilitangaza kuwa angalau watu 52 wameuawa katika milipuko na watu 280 wamejeruhiwa.

Msiba umekuwa mkubwa hasa katika kipindi hiki cha likizo ya Pasaka.
Na Richard Francis.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MILIPUKO YAUA 52 HUKU 280 WAJERUHIWA NCHINI SRI LANKA MILIPUKO YAUA 52 HUKU 280 WAJERUHIWA NCHINI SRI LANKA Reviewed by By News Reporter on 4/21/2019 03:51:00 PM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.