Loading...

MWANAMKE MMOJA AELEZA ALIVYOPATA MIMBA BILA YA KUSHIRIKI NGONO

Loading...
Mwanamke mmoja wa miaka 23 kutoka Nigeria ameeleza jinsi alivyopata mimba bila kushiriki ngono na mpenzi wake

Wathoni Anyansi ambaye alidai kuwa bikira kwa wakati huo, alisema aligundua yuko mjamzito akiwa na miezi mitano 

Anyansi alishangazwa namna alivyopata ujauzito hiyo kwani hakuwa ameshiriki ngono ila alibusiana tu na mpenzi wake wakiwa uchi chumbani mwake.

"Nilikuwa bikira nikiwa na umri wa miaka 23, niligundua baada ya miezi mitano kwamba nilikuwa mjamztito," Ayansi alisema. 

Ayansi alisema hakuona hedhi kwa miezi mitano, jambo lililomfanya awe na wasiwasi kwani pia alianza kukonda bila ya kuugua ugonjwa wowote. 

Alimfahamisha mamake ila pia alishangazwa ni vipi maajabu hayo yalivyotendeka.

"Nilishangaa haya yalitokea kivipi? nilipomwelezea mamangu hakuwa na jambo la kusema ila alicheka tu," Anyansi aliongezea. 

Aidha, wataalam kutoa Uingiereza wanadai kuwa kuna uwezakano mkubwa kwa mwanamke kupata mimba bila ya kushiriki ngono. 

Kwa mara nyingi jambo hili hutokea pale ambapo mwanaume anamwaga shahawa karibu na sehemu za siri za mwanamke.
Na Joyce Baluhi.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MWANAMKE MMOJA AELEZA ALIVYOPATA MIMBA BILA YA KUSHIRIKI NGONO MWANAMKE MMOJA AELEZA ALIVYOPATA MIMBA BILA YA KUSHIRIKI NGONO Reviewed by GEOFREY MASHEL on 4/09/2019 10:14:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.