Bolt alishiriki katika mashindano ya riadha na waendesha texi aliibuka mshindi na kuwaacha wengi vinywa wazi.
Mwanariadha mwenye kasi zaidi duniani Usain Bolt amethibitisha kuwa mbali na kuwashinda wanariadha, pia ana kasi inayoweza kushinda hadi gari.
Loading...
nt-family: Verdana, sans-serif;">
Haya yamebainika baada ya raia huyo wa Jamaica kushiriki mashindano ya riadha na magari ya taxi katika mji mkuu wa Peruvian, Lima na kuibuka mshindi.
Katika picha ziliyochapishwa na Bloomberg, Usain anaonekana akisimama kando ya gari akiwa tayari kabla ya mashindano hayo kuanza na mwishowe akionekana kufika ukingoni kabla ya gari hilo kuwasili huku akishangiliwa kwa vifijo.
Bolt alistaafu kutoka kwa mashindano ya riadha 2017 akiwa London.

Na Daudi Kibaso.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MWANARIADHA USAIN BOLT ASHINDANA NA GARI, AIBUKA MSHINDI
Reviewed by By News Reporter
on
4/04/2019 09:50:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: