Loading...
ya magari hayo mawili yaliyopata ajali, moja lilikuwa linaendeshwa na Mkenya na lingine Mtanzania.
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna akiongea na vyombo vya habari amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku akihaidi kutoa taarifa zaidi hapo baadae.
Kamanda wa Polisi mkoani Arusha, Jonathan Shanna akiongea na vyombo vya habari amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo huku akihaidi kutoa taarifa zaidi hapo baadae.
Na Sadiki Nyembo.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
TANZIA: AJALI YAUA MKOANI ARUSHA, MAGARI YA MASHINDANO YAGONGANA
Reviewed by By News Reporter
on
4/22/2019 07:34:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: