Loading...
Pale tuliposikia watu wakisema kua uyaone, kumbe ilikuwa sio maghorofa bali ni maajabu kama haya. Jamii hii inayopatikana Afrika tena Afrika Mashariki, imezidi kuendeleza ule usemi unaosema 'dunia ina mambo'.
Kwa kawaida na karibia asilimia 99, mamalia aina nyingi wana mifumo ya kurekebisha joto la mwili kama kutoa jasho ili mwili uendelee kufanya kazi kama kawaida lakini hii ni tofauti sana katika jamii ya Ilimanyang
Ilimanyang ni jamii ndogo ya wakenya wanaopatikana katika kijiji cha Kapua jimbo la Turkana nchini Kenya.
Tofauti na wanadamu wengine, wa’Ilimanyang hawana matundu ya kutoa jasho katika ngozi yao, na wanaishi kwa kutembea na mikebe ya maji ili kujimwagia kwenye miili yao kila mara ili kupooza makali ya joto.
Kwa watoto wa shule, hali ni mbaya hata zaidi, kwani wanalazimika kutoka nje ya madarasa yao mara kwa mara ili kujimwagilia maji.

Na Neema Joshua.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
WAJUE BINADAMU WASIOTOKWA NA JASHO
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
4/04/2019 08:58:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: