Loading...

BREAKING: ZANZIBAR YAPATA PIGO, WAZIRI WA MUDA MREFU AFARIKI DUNIA

Loading...
Aliyewahi kuwa Waziri katika Wizara mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Bw. Ramadhan Abdallah Shaaban amefariki Dunia.

Taarifa zilizotufikia ndani ya Chumba chetu cha Habari zinaeleza kuwa Bw. Shaaban amefariki Dunia katika hospitali ya Aga Khan jijini Dar es Salaam.

Ramadhan Abdallah Shaaban alikua Waziri wa Katiba na Utawala bora (2005 – 2010), Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali (2010 – 2012) na Waziri wa Ardhi Maji Nishati Nyumba na Makazi (2012 – 2015).
Na Catherine Kisese.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
BREAKING: ZANZIBAR YAPATA PIGO, WAZIRI WA MUDA MREFU AFARIKI DUNIA BREAKING: ZANZIBAR YAPATA PIGO, WAZIRI WA MUDA MREFU AFARIKI DUNIA Reviewed by By News Reporter on 5/17/2019 07:39:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.