Loading...

HAPA NDIPO ATAKAPOZIKWA MENGI, FAMILI YAFUNGUKA MCHAKATO MZIMA WA MAZISHI

Loading...
Mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginald Mengi utawasili jumatatu mchana Mei 6, 2019 jijini Dar es salaam kutoka Dubai ambapo alifikwa na umauti jumatano usiku. 

Mwanasheria wa familia, Michael Ngalo amesema mwili wa mfanyabiashara huyo maarufu nchini Tanzania utahifadhiwa katika hospitali ya jeshi ya Lugalo baada ya kuwasili. 

Siku ya Jumanne,marehemu ataagwa katika viwanja vya Karimjee.siku ya Jumatano Mei 8, 2019 mwili utasafirishwa kwenda Machame mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya maziko yatakayofanyika siku ya Alhamisi Mei 9, 2019. 

“Baada ya mwili kuwasili Machame ibada ya mazishi itafanyika katika Kanisa la Kilutheri la Kiinjili Tanzania la Kisereni,”
Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
HAPA NDIPO ATAKAPOZIKWA MENGI, FAMILI YAFUNGUKA MCHAKATO MZIMA WA MAZISHI HAPA NDIPO ATAKAPOZIKWA MENGI, FAMILI YAFUNGUKA MCHAKATO MZIMA WA MAZISHI Reviewed by GEOFREY MASHEL on 5/04/2019 08:56:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.