Loading...

MAFURIKO YAIKUMBA BUKOBA, NYUMBA ZAFUNIKWA NA MALI ZAHARIBIWA

Loading...
Mafuriko yameikumba Bukoba mjini leo kuanzia majira ya saa mbili asubui kutokana na mvua kubwa zinazoendelea kunyesha kwa kufunika  na kuzunguka baadhi ya nyumba zilizopo maeneo ya Nyakanyasi na Darajani Sokoni na sehemu nyinginezo. 

Chanzo cha habari hii kimesema kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha zaidi ya familia kupoteza mali zao.
Na Geofrey Okechi.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MAFURIKO YAIKUMBA BUKOBA, NYUMBA ZAFUNIKWA NA MALI ZAHARIBIWA MAFURIKO YAIKUMBA BUKOBA, NYUMBA ZAFUNIKWA NA MALI ZAHARIBIWA Reviewed by By News Reporter on 5/27/2019 07:08:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.