Loading...

MFALME MSWATI: USIPOOA WAKE WAWILI UNAKWENDA JELA

Loading...
Mfalme wa Swaziland, Mswati wa III amewataka vijana wa nchini kwake waliofikia umri wa kuoa, waoe haraka na kusisitiza kuwa wanatakiwa waoe wake wawili au zaidi, kinyume na hapo atawatupa lupango wote wasiotekeleza agizo hilo kuanzia Juni, mwaka huu.

Mswati wa III ana jumla ya wake 15 na watoto 25. Baba yake ambaye pia alikuwa mfalme wa nchi hiyo, alikuwa na wake 70 na watoto zaidi ya 150.

Mswati alitoa onyo kali kwa mwanaume au mwanamke atakayekiuka agizo hilo atahukumiwa kifungo cha maisha jela.

Swaziland ni nchi ya Afrika yenye idadi kubwa zaidi ya wanawakwe kuliko wanaume, hivyo wanawake wengi hukosa waume wa kuwaoa.
Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MFALME MSWATI: USIPOOA WAKE WAWILI UNAKWENDA JELA MFALME MSWATI: USIPOOA WAKE WAWILI UNAKWENDA JELA Reviewed by By News Reporter on 5/15/2019 06:58:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.