Loading...
Moise Katumbi arejea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuishi uhamishoni mwa muda wa miaka mitatu
Mpinzani ambae alikuwa mshirika wa karibu wa rais Joseph Kabila, Moise Katumbi arejea Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuishi uhamishoni kwa muda wa miaka mitatu.
Moise Katumbi amewasili katika uwanja wa ndege wa mjini Lubumbashi mapema Jumatatu Mei 20 katika ndege yake binafsi.
Mpinzani huyo ambae alizuiliwa kushiriki katika uchaguzi mkuu uliofanyika JK Kongo amepokelewa kwa shangwe na wafuasia wake.
Katumbi ametoa shukrani kwa utawala wa rais Felix Tshisekedi kwa kumruhusu kurejea nchini na kumpa haki yake ya milimiki hati ya kusafiria ambayo alikuwa amezuiliwa na utawala wa rais Joseph Kabila.

Na Catherine Kisese.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MOISE KATUMBI AREJEA DR CONGO, AUSHUKURU UTAWALA MPYA
Reviewed by By News Reporter
on
5/22/2019 10:36:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: