Loading...

MTALII AANGUKA KATIKA VOLKANO NCHINI MAREKANI

Loading...
Mtalii mmoja ameripotiwa kuanguka katika volkano ya Kilauea, mojawapo ya mlima wenye volkano kali zaidi duniani.

Kwa mujibu wa habari katika vyombo vya habari vya Marekani, askari huyo mwenye umri wa miaka 32 ambaye hakutajwa jina lake alitembelea Hifadhi ya Taifa ya Hawaii ambapo mguu uliteleza na kupeleka kuanguka kwake katika volkano hiyo yenye kina cha kilomita 92.

Kwa bahati nzuri, askari huyo aliokolewa masaa mawili baadaye na kukutwa na majeraha.

Mtalii huyo amefikishwa katika hospitali ya Hawaii kwa ajili ya matibabu.
Na Geofrey Okechi.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MTALII AANGUKA KATIKA VOLKANO NCHINI MAREKANI MTALII AANGUKA KATIKA VOLKANO NCHINI MAREKANI Reviewed by By News Reporter on 5/05/2019 09:59:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.