Loading...

NDEGE AINA YA BOING 737 YATUMBUKIA MTONI BAADA YA KUSHINDWA KUTUA

Loading...
Ndege aina ya Boeing 737 imeshindwa kutua na kuishia kuingia mtoni nchini Marekani. Hiyo ni aina ile ile ya ndege iliyopata ajali na kusababisha vifo vya mamia ya watu nchini Ethiopia na Indonesia.

Kwa mujibu wa ripoti, ndege hiyo ilitoka katika barabara yake na kuingia mtoni wakati ikitaka kutua Florida nchini Marekani.

Tukio hilo limetokea katika uwanja wa ndege wa Jacksonville,ambapo ndege hiyo ya abiria iliyokuwa imebeba abiria 136 ilishindwa kutua na mwisho kuingia katika mto wa St.John. Hata hivyo hakuna aliyeripotiwa kupoteza maisha. Watu wawili wamejeruhiwa.
Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
NDEGE AINA YA BOING 737 YATUMBUKIA MTONI BAADA YA KUSHINDWA KUTUA NDEGE AINA YA BOING 737 YATUMBUKIA MTONI BAADA YA KUSHINDWA KUTUA Reviewed by GEOFREY MASHEL on 5/05/2019 09:31:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.