Loading...
Mtu mwingine sio kipimo cha mafanikio yako. Kila mtu ameumbwa na uwezo tofauti na vipaji tofauti. Kwa kuzingatia hili kipimo sahihi cha mafanikio yako ni uwezo ulio ndani yako.
Hebu angalia mafanikio uliyonayo kwa sasa kama yanaendana na uwezo wako na vipaji ulivyonavyo, kama kuna tofauti unatakiwa kuchukua hatua.
Watu wengi wamekuwa wakijiona wanyonge kwa sababu wamekuwa wakiendekeza tabia yakujilinganisha na watu wengine. Ni kweli ni vyema kuwatumia watu wengi kama mfano wa kuigwa na chachu ya kufanya kazi kwa bidii lakini si kuwatumia kama kipimo cha mafanikio yako. Wewe ni wewe na wao ni wao, kila mtu yuko tofauti.
Kwa upande wako jitahidi kutumia uwezo wako wote, nguvu zako zote, vipaji vyako vyote na akili yako yote, na hicho ndio kipimo cha mafanikio yako.
Epuka sana kutumia muda wako kujilinganisha na watu wengine katika namna yoyote iwe muonekano, akili, uwezo, kipaji n.k. Tumia hicho hicho ulichonacho.
Keep Moving! One Step At A Time!
Vicent Stephen

.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
USIFANYE MAKOSA YA KUPIMA MAFANIKIO YAKO KWA KUJILINGANISHA NA MTU MWINGINE
Reviewed by By News Reporter
on
5/30/2019 09:02:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: