Loading...

WACHIMBA MADINI 8 WAFARIKI KWA MLIPUKO NCHINI ZIMBABWE

Loading...
Wachimbaji nane wamepoteza maisha yao katika mlipuko wa mgodi wa Zimbabwe.

Kulingana na habari,mlipuko huo katika mgodi wa dhahabu umesabaisha kuporomoka kwa kisima na hivyo kupelekea vifo vya watu nane.

Kulingana na taarifa ya Wizara ya vyombo vya habari, ajali hiyo imetokea katika Mgodi wa Jumbo katika mji wa Mazowe kaskazini mwa Zimbabwe.

Mpaka hivi sasa mili ya wachimbaji nane imepatikana baada ya mlipuko huo.

Upelelezi juu ya ajali katika mgodi unaendelea.
Na Timoth Anthony.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
WACHIMBA MADINI 8 WAFARIKI KWA MLIPUKO NCHINI ZIMBABWE WACHIMBA MADINI 8 WAFARIKI KWA MLIPUKO NCHINI ZIMBABWE Reviewed by By News Reporter on 5/28/2019 07:09:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.