Loading...
Baada ya kuzima Intanet kuzuia wizi wa maswali ya mitihani, mamlaka ya mji wa Addis Ababa imepiga marufuku matumizi ya pikipiki kukabiliana na vitendo vya uhalifu vilivyoongezeka
Katika mji mkuu wa Ethiopia, Addis Ababa, matumizi ya pikipiki yamepigwa marufuku kutokana na kuongezeka kwa matukio ya jinai na wizi.
Mkurugenzi mkuu msaidizi wa mji wa Addis Ababa, Takele Uma amesema kuanzia mwezi Julai, pikipiki zimepigwa marufuku kwa watu wote isipokuwa wafanyakazi wa posta na wawakilishi wa misheni za mji huo.
Uma alisema wamechukua uamuzi huo ili kukabiliana na vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na watumiaji wa pikipiki.
Wiki iliyopita nchini Ethiopia Intanet ilizimwa ili kukabiliana na wizi wa maswali ya mitihani.

Na Ummy Kitwana.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
ETHIOPIA: BAADA YA KUZIMA MTANDAO, SASA WAZUIA BODABODA KISA UHALIFU
Reviewed by By News Reporter
on
6/20/2019 07:04:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: