Loading...
Kenya. Mahakama ya Rongo kaunti ya Migori imemhukumu kifungo cha maisha kijakazi mwenye umri wa miaka 22 baada ya kupatikana na hatia ya kumbaka mvulana wa miaka 6
Kijakazi huyo pia alikashifiwa kwa kumuambukiza makusudi mvulana huyo ugonjwa wa zinaa.
Akitoa uamuzi wake hakimu mkuu wa mahakama hiyo Raymond Langa alisema kuna ushahidi wa kutosha unaomhusisha mshukiwa na kitendo hicho alichokitekeleza Machi 30, 2019.
Hakimu Langa alisisitiza kuwa mshukiwa alitekeleza kitendo hicho makusudi kwani alijua hali yake ya kiafya.
Mwathiriwa anasemekana kuathirika kisaikolojia ila tayari amepelekwa hospitalini kutibiwa dhidi ya magonjwa ya zinaa.

Na Haika Gabriel.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
MWANAMKE AHUKUMIWA JELA MAISHA KWA KUMBAKA MVULANA WA MIAKA 6 NA KUMUAMBUKIZA MAGONJWA YA ZINAA
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
6/19/2019 07:35:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: