Loading...

SHOGA MWAFRIKA ANAYEWASHANGAZA WENGI KWA MUONEKANO WAKE, HAUWEZI KUAMINI KAMA MWANAUME!

Loading...
Shoga maarufu anayetokea nchini Nigeria , Idris okuneye(28), maarufu kama BOBRISKY, ndiye staa shoga aliyeamua kujiweka wazi nchini Kwao kwa kuvaa na kuishi kama mwanamke, unaambiwa hutumia mamillioni ya pesa kujiremba na ku maintain muonekano wa kike.

Shoga huyo ambaye pia ni rafiki wa muigizaji mkongwe, Tontoh Dikeh, amekua akivutia watu mbali mbali kwa umahiri wake wa kujiremba na kuishi maisha expensive pengine kuliko mastaa wengine nchini humo.

Bobrisky anajihusisha na biashara ya vipodozi ambayo anadai ndo iliyompa utajir wa kutisha mpaka sasa, ingawa hata yeye mwenyewe pia amewahi kusema mara kwa mara kuwa anatoka na ma politician na watu wazito wenye pesa zao nchini humo ambao pia wanampa jeuri ya kuishi maisha ya kifahari huko Lagos state.
Na Catherine Kisese.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
SHOGA MWAFRIKA ANAYEWASHANGAZA WENGI KWA MUONEKANO WAKE, HAUWEZI KUAMINI KAMA MWANAUME! SHOGA MWAFRIKA ANAYEWASHANGAZA WENGI KWA MUONEKANO WAKE, HAUWEZI KUAMINI KAMA MWANAUME! Reviewed by GEOFREY MASHEL on 6/13/2019 08:57:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.