Loading...
Saratani ni ugonjwa hatari sana hasa unapokuwa umefika katika hatua kubwa. Lakini kama utaweza kutumia vyakula fulani kama mlo wako kila siku huwenda vikakuepusha na ugonjwa huu.
Kuna vyakula na matunda yenye uwezo wa kupambana au kuzuia ugonjwa wa saratani, lakini ufanisi wake hutegemea ukubwa wa tatizo hivyo mgonjwa anapaswa kupitia hospitali ili kupata ushauri na vipimo vinavyostahili kabla ya kuamua kutumia tiba hii. Matundao hayo ni haya yafuatayo:-
STAFELI/MTOPETOPE
Matumizi ya tunda hili mara kwa mara huweza kutibu na kuzuia saratani kwa kiasi kikubwa, hivyo tunda hili linapaswa litumike kila siku angalau mara mbili kwa kutwa.
KABEJI
Andaa juisi yake kwa kuisaga kwenye mashine ya kutengenezea juisi kisha uinywe bila kuichuja kwa kipimo cha vikombe vitatu kwa siku,Juisi hii huweza kuuzuia mwili usipate saratani za aina mbalimbali na pia inafaa kwa wagonjwa wa saratani walioanza matibabu.
PARACHICHI
Tunda la parachichi linahitajika kutumika kwa wingi kutokana na uwezo wake wa kufyonza mafuta yanayoweza kusababisha saratani katika mwili. Pia tunda hili lina kiasi kikubwa cha potasiamu ambayo ni nyingi zaidi ya kwenye ndizi na pia ni chanzo kikubwa cha beta carotene. Wanasayansi wanaamini kuwa tunda hili pia linauwezo wa kutibu Hepatitis ugonjwa ambao unaweza kusababisha saratani ya ini pamoja na vyanzo vingine vinavyopelekea kuharibika kwa ini.
KAROTI
Mbali na hayo pia mmea wa karoti kutokana na kuwa na kiasi kikubwa cha 'betacarotene' ambayo husaidia kupunguza uwezekano wa kupata aina nyingi za saratani zikiwemo saratani ya mapafu, saratani ya mdomo, koo, tumbo, utummbo, kibofu, tezi za matiti. Chembechembe ya 'falcarinol' ambayo inapatikana katika karoti hupunguza uwezekano wa kupata ugonjwa huo. Mara nyingi mboga hizi hupatikana katika masoko mbalimbali.

Na Shakira Hussein.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
VYAKULA/MATUNDA YENYE UWEZO WA KUPAMBANA AU KUZUIA MAGONJWA YA KANSA
Reviewed by By News Reporter
on
6/27/2019 08:27:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: