Loading...
Mamba weupe, ni aina ya viumbe adimu sana duniani na mpaka sasa kwa mujibu wa wanasayansi hawazidi 20 duniani kote kutokana na upekee wao.
Wengine wana macho ya blue na wengine meupe, wengi wao wana kilo kuanzia 200 kwenda juu akiwa mkubwa.
Na wamekuwa vivutio vikubwa sana kwa watu hasa wakiwatazama kwa muonekano wao kama theluji na macho yao ya blue.
Wanapatikana katika maeneo mengi ya dunia kama Califonia, USA alianza kuonekana mwaka 2009, pia Australia alionekana mwaka 2017 akiruka mtoni.
Wataalamu wanasema mamba hao sio albino bali wamezaliwa na mifumo ya jeni tofauti na mamba wengine ambapo wanazaliwa na mamba wa kawaida. Na kitaalamu wanaitwa leucistic ambapo humaanisha wana pigimenti chache midomoni na mikiani mwao na wanamacho ya blue.
Kwa Marekani mpaka sasa wamepatikana 12 tu kati ya mamba milioni 5, wanakula chakula cha kawaida kama mamba wengine.
Kutokana weupe wao hawawezi kuishi porini kwakuwa rahisi kuuliwa na maadui zao pia jua linawadhuru sana kwakuwa pigimenti ni chache sana kwenye ngozi zao.

Na Zaida Msafiri.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
WAFAHAMU MAMBA WEUPE, WANYAMA ADIMU SANA DUNIANI
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
6/19/2019 09:35:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: