Loading...

WEMA AACHILIWA HURU KWA DHAMANA BAADA YA KUTUPWA JELA KWA SIKU 7

Loading...
Mwigizaji staa wa tasnia ya filamu za bongo,  Wema Sepetu ameachiliwa huru na mahakama baada ya kuzuiliwa kwa siku 7

Sepetu ambaye anakabiliwa na mashtaka ya kuenezea video za ngono mitandaoni, alikamatwa Juni 16, 2019 kwa kosa la kukaidi amri ya mahakama kwa kosa la kutohudhuria mahakamani hapo bila kutoa taarifa.

Sepetu aliachiliwa huru baada ya kulipa dhamana iliyotolewa na mahakama Jumatatu Juni 24.

Kesi dhidi ya mwigizaji huyo inatarajiwa kusikizwa tena Alhamisi July 4 mwaka huu. 

Aidha, hakimu mkaazi wa mahakama ya Kisutu Maira Kasonde alimuonywa Sepetu Jumatatu Juni 24 dhidi ya kutohudhuria vikao vyake kesi yake.
Na Daudi Singano.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
WEMA AACHILIWA HURU KWA DHAMANA BAADA YA KUTUPWA JELA KWA SIKU 7 WEMA AACHILIWA HURU KWA DHAMANA BAADA YA KUTUPWA JELA KWA SIKU 7 Reviewed by By News Reporter on 6/25/2019 07:29:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.