Loading...

JE WAJUA! TALAKA YA KWANZA ILITOLEWA NA NANI HAPA DUNIANI? WANAHISTORIA WAMEIGUNDUA

Loading...
Wana arkeolojia kutoka chuo kikuu cha Liberty cha nchini Marekani wamegundua talaka ya kwanza kutolewa duniani ambayo ilitolewa na mfalme wa Babeli

Barua ya talaka aliyoiandika mfalme wa Babel, Nabonidus, Karne ya 6 kabla ya kuzaliwa Kristo yagunduliwa.

Wana arkeolojia wa Marekani kutoka chuo kikuu cha Liberty wamesema katika karne ya 6 kabla ya kuzaliwa Kristo mfalme Nabonidus wa Babel alitoa barua ya talaka ambayo imegunduliwa kwa mara ya kwanza.

Wana Arkeolojia hao wakielezea ugunduzi huo mpya walisema Mfalme Nabonidus alitoa talaka hiyo kwa mmoja wa masuria wake. Barua hiyo ilikuwa kama ifuatavyo

Maandishi kwenye kibao yalianza: 

"Nimezipata kutoka Frati juu habari za wewe kukutana na rafiki yangu wa utoto Nisaba. Vile ulikuwa ni mmoja wa Masuria wangu wapendwa siwezi kuvumilia usaliti huu.  Una mwezi mmoja wa kuja kuchukua mtandio wako wa kitani na makobasi yako, Usipofanya hivyo ntavitoa sadaka katika hekalu la Mungu mwezi.”

Barua hiyo iliibuka baada ya uchunguzi wa wana arkeolojia ambao waligundua kibao kilichokuwa na barua hio, kusini mwa Iraq mwaka jana.
Na Neema Joshua.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
JE WAJUA! TALAKA YA KWANZA ILITOLEWA NA NANI HAPA DUNIANI? WANAHISTORIA WAMEIGUNDUA JE WAJUA! TALAKA YA KWANZA ILITOLEWA NA NANI HAPA DUNIANI? WANAHISTORIA WAMEIGUNDUA Reviewed by By News Reporter on 6/25/2019 07:14:00 AM Rating: 5

Hakuna maoni:

Loading...
Inaendeshwa na Blogger.