Loading...
Wakati mwingine tunashauriwa kutumiwa kutumia matunda kwa wingi kwani matunda ni mbadala wa tiba ambazo zinapatikani mahospitallini. Hata hivyo kama ulikuwa hujui ni kwamba matunda yana vitamin ambavyo ni muhimu katika mwili wa mwanadamu. Miongoni mwa vitamin hivyo vitamin A, B, C, D, E. Na miongoni mwa matunda ambayo yanapatikana vitamin hizo zote ni papai pekee.
Kama ndivyo hivyo basi unashauriwa mara kwa mara kuweza kutumi tunda hili ili uweze kujitibu mwenyewe magonjwa yafutayo;
1. Kujitibu vidonda katika mwili, na vidonda hivyo hupona kutokana na kutumia majani ya mpapai ambapo unatakiwa kuponda ponda majani yake kisha kuweka katika kidonda ambacho unacho.
2. Lakini pia kwa watu wenye matatizo ya kusaga chakula mwilini, inashauriwa uweze kutumia papai mara kwa mara ili uweze kuepukana na tatizo hilo.
3. Kwa watu ambao wanasumbuliwa na kisukari inashauriwa waweze pia mapapi kwa wingi kwani virutubisho ambavyo vinapatikana katika tunda hilo vinasaidia kutibu kisukari. Pia kwa wagonjwa wa athma pia wanashauriwa kutumia tunda hili.
4. Kama unakohoa kikohozi kitokacho mapafuni unashauriwa pia uweze kutumia tunda hili kwani husaidia sana kuweza kutibu .
5. Lakini pia unapotumia papai kwa mara kwa mara huweza kuleta afya nzuri kwa afya.

Na Catherine Kisese.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
FAIDA ZITOKANAZO NA MATUMIZI YA PAPAI
Reviewed by GEOFREY MASHEL
on
7/10/2019 05:25:00 AM
Rating:
Hakuna maoni: