Damas Shaltiel ambaye ni Katibu wa Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe amekihama chama hicho na kujiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM).
Jumamosi Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidh
Jumamosi Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidh
Loading...
kadi ya CCM katibu wa mbunge Zitto wakati wa Kongamano lililoandaliwa na Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) kwenye uwanja wa Lake Tanganyika mjini Kigoma.
Waziri Mkuu Majaliwa alimpongeza kwa uamuzi alioufanya wa kukihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Waziri Mkuu Majaliwa alimpongeza kwa uamuzi alioufanya wa kukihama chama hicho na kujiunga na CCM.
Na Neema Joshua.
.
.
Una maoni? Una habari ambayo ungependa tuichapishe? Tuma ujumbe kwa mhariri mkuu:dundiikaonline@gmail.com.
KATIBU WA ZITTO ATIMKIA CCM, MAJALIWA AMKABIDHI KADI YA CHAMA
Reviewed by By News Reporter
on
7/15/2019 07:08:00 AM
Rating:

Hakuna maoni: